Baadhi ya fursa......
Sehemu ya kwanza ya somo la leo kuhusu Maisha..





  • Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
  • Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
  • Kutengeneza na kuuza tofali
  • Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
  • Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
  • Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
  • Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
  • Kushona na kuuza nguo.
  • Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
  • Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.